Ndanda

Kantini

Mgahawa ulijengwa 2018/2019 na ulizinduliwa rasmi mwezi wa pili mwaka 2019.
Mgahawa huu umejengwa kwa hadhi ya juu ili kukidhi mahitaji ya mteja.
Mteja ana uhuru wa kuchagua vyakula avyotaka na anapata huduma safi kabisa.
Ipo kwa ajili ya wafanyakazi wetu, wagonjwa na jamaa zao, na wageni pia.

Unakaribishwa kuangalia menyu zake katika tovuti hii:

Maombi maalum ili kujipatia chakula katika mikutano ama semina na huduma za bufee zinatolewa pia.