Ndanda

Dira Yetu

Kutoa huduma bora za afya kwa watu wote.

Dhamira Yetu

Kuitikia amri ya kristu kutangaza injili na kuponya wagonjwa.

Tunu Zetu

  1. Kuheshimu, kulinda na kutunza uhai wa mwanadamu

  2. Kuwahudumia wagonjwa wote kwa kuzingatia Haki na Usawa

  3. Moyo wa uthubutu,nidhamu,upendo kwa wagonjwa na huduma sawa kwa wote.

  4. Kuzishika kanuni za mafundisho ya injili, mapokeo na maadili ya kanisa katoliki.