Ndanda

Mahali Tulipo

Hospitali ipo Mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi kusini mashariki mwa Tanzania. Masasi ndiyo mjini kwa umbali wa kilometa 38km kutoka Ndanda,Lindi 110km,Mtwara 159km na Dar es Salaam 563km

Eneo la huduma

Vijiji vifuatavyo vipo ndani ya eneo la huduma navyo ni:

  • Mpowora
  • Njenga
  • Tuungane
  • Mkalapa
  • Liputu
  • Mwena

Vijiji hivi vinajumla ya wakaazi 20,402.

Wigo wa huduma

Hospitali inahudumia Wagonjwa kutoka Mikoa ya Mtwara,Lindi,na Ruvuma.Zaidi waazi 2,288,792 wanaishi ndani ya eneo husika:hii kutokana na takwimu za sense ya mwaka (2010).

Pamoja na hivyo hospitali inapata wagonjwa toka Dar es Salaam,Zanzibar,na Msumbiji.