Ndanda

Tangazo la Nafasi za Kazi

Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Benedikto Ndanda unawakaribisha wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizowazi kuanzia mwezi wa 3 (March), 2022:

  • Technologist (II) Optometrist (nafasi 1)
  • Mtechnologia wa Meno (II) (nafasi 1)
  • Muhasibu Daraja la 2 (nafasi 1)

Maelezo zaidi yanapatikana kupitia kiungo hiki: