Kitengo cha radiolojia kina Mradiologia mmoja na Nesi masaidizi mmoja. Kuna mashine mbili za kisasa aina ya Siemens yenye muunganiko na Philips PCR ya kidigitali, ambazo hutumiwa kwa sasa
Uchunguzi kwa Ultrasound hufanywa na Nesi mmoja ambaye alihudhuria masomo maalum ya ultrasaundi. Pia kuna Daktari mmoja ambaye naye alihudhuria mafunzo maalum kwa miezi mitatu ya Echocardiography nchini Uganda (Kampala).
Kwa sasa tunatumia mashine mbili za U/S za kisasa zenye uwezo wa juu wa uchunguzi wa moyo, nyonga,njia vya uzazi, tezi dume nk.