Nurse incharge Mrs Goretti Mtungwe
Tunatoa huduma ya wodi za binafsi kwa wagonjwa wenye uhitaji wa usiri na wodi yenye mazingira ya kipekeyake katika ward za daraja la kwanza na la pili
Katika daraja la kwanza mgonjwa hulazwa pekeyake, daraja la pili wagonjwa wanalazwa wawili tu katika wodi moja. Chakula pia kipo kwa wagonjwa wenye uhitaji.
Wagonjwa wanaolazwa katika wodi binasfi wanahudumiwa na madaktari bingwa pia wanapewa huduma bora za kinesi kutoka kwa manesi wetu.