Ndanda

Wafanyakazi wetu

Ukuaji na maendeleo ya taasisi hutegemea sana uwepo wa miundombinu na mazingira mazuri ya kiutenaji pamoja na wafanyakazi bora , wazalendo, wenye ujuzi na maalifa katika fani husika. Kwa kutambua hilo Uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Mt.Benedkto Ndanda umeajiri wafanyakazi bora wenye ujuzi na maalifa katika fani mbalimbali za afya ili kuhakikisha kuwa inatimiza dhima ya utoaji wa huduma bora za afya kwa jamii bila kujali ukabila au jinsia ya mtu.Jedwali lifuatalo linaonesha baadhi ya wataalamu wa afya katika fani mbalimbali.

FANI/TAALUMA IDADI
Daktari Bingwa 06
Daktari 08
Epidemiologist (masters) 01
Daktari wa Meno 01
Mfamasia 01
Daktari Msaidizi 06
Fiziotherapia 01
Afisa Mteknolojia-Maabara 05
Tabibu 06
Fundi Sanifu vifaa tiba 01
Mteknolojia-Macho 02
Mteknolojia-Meno 02
Mteknolojia-maabara 03
Mteknolojia-maabara 03
Afisa Muuguzi Msaidizi & Muuguzi 102