Ndanda

Wafanyakazi wetu

Ukuaji na maendeleo ya taasisi hutegemea sana uwepo wa miundombinu na mazingira mazuri ya kiutenaji pamoja na wafanyakazi bora , wazalendo, wenye ujuzi na maalifa katika fani husika. Kwa kutambua hilo Uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Mt.Benedkto Ndanda umeajiri wafanyakazi bora wenye ujuzi na maalifa katika fani mbalimbali za afya ili kuhakikisha kuwa inatimiza dhima ya utoaji wa huduma bora za afya kwa jamii bila kujali ukabila au jinsia ya mtu.Jedwali lifuatalo linaonesha baadhi ya wataalamu wa afya katika fani mbalimbali.

FANI/TAALUMA IDADI
Daktari Bingwa 8
Daktari 21
Epidemiologist (masters) 1
Daktari wa Meno 1
Mfamasia 2
Daktari Msaidizi 3
Fiziotherapia 2
Afisa Mteknolojia-Maabara 5
Tabibu 7
Fundi Sanifu vifaa tiba 2
Mteknolojia-macho 2
Afisa Muuguzi Msaidizi & Muuguzi 129