Kutoa huduma bora za afya kwa watu wote.
Kuitikia amri ya kristu kutangaza injili na kuponya wagonjwa.
Kuheshimu, kulinda na kutunza uhai wa mwanadamu
Kuwahudumia wagonjwa wote kwa kuzingatia Haki na Usawa
Moyo wa uthubutu,nidhamu,upendo kwa wagonjwa na huduma sawa kwa wote.
Kuzishika kanuni za mafundisho ya injili, mapokeo na maadili ya kanisa katoliki.