Ndanda

Utafiti

Kitengo hiki kimeanzishwa mnamo mwezi wa nne mwaka 2020 kutokana na ushawishi wa PhD Dr. Mdoe wa hospitali ya kilutheli ya Haydom. Timu ya utafiti ilichaguliwa kwa kushirikiana na hospitali ya St. Walburga ya Nyangao ndiyo iliyoendeleza.

Katika awamu ya kwanza, tunataka kuangalia namna ya kuboresha tafiti, hususani katika ubora wa kutunza kumbukumbu katika kituo chetu.

Matokeo yatatafsiriwa moja kwa moja katika uboreshaji wa ubora wa huduma za afya katika hospitali yetu.