Ndanda

Kantini

Mnamo tarehe 4februari 2019, mgwahawa wetu mpya ulizinduliwa rasmi. Mgahawa huu umejengwa kwa hadhi ya juu ili kukidhi mahitaji ya mteja.Mteja anauhuru wa kuchagua vyakula avyotaka na anapata huduma safi kabisa.Ipo kwa ajili ya wafanyakazi wetu,wagonjwa na jamaa zao,na wageni pia.

Unakaribishwa kuangalia menyu zake katika tovuti hii:

Maombi maalum ili kujipatia chakula katika mikutano ama semina na huduma za bufee zinatolewa pia.