Ndanda

Mr. Kelvin Mrekoni

Quality Officer

Chuo cha Uuguzi

Udhibiti Ubora

Kwa niaba ya Timu ya Udhibiti wa Ubora, ningependa kuwakaribisha kutembelea tovuti ya chuo hiki.

Kitengo cha udhibiti wa ubora ina jukumu la kuangalia ubora katika utoaji wa huduma za msingi za Chuo ambazo ni:

  • Kufundisha na kujifunza,
  • Utafiti na ushauri na,
  • Kuhudumia jamii sehemu mbalimbali

Tumejitolea kuhakikisha ubora uko kwenye mioyo ya huduma tunazotoa kupitia mfumo wa udhibiti wa ubora unaotolewa na Wizara ya Afya na Baraza la Kitaifa la Mafunzo ya Ufundi (NACTE).

Tovuti yetu ina habari mbali mbali kutoka masuala ya utawala hadi habari ya kujiunga na chuo. Tunadumisha ubora katika shughulii zetu zote na tumejitolea kuwatumikia wateja wetu kwa bidii na huduma bora.

Ninakukaribisha tena.

Bwana Kelvin Mrekoni
Afisa Uthibiti Ubora